Clothing items names in swahili
Clothing
Clothes – Nguo
Clothe – vika
Jacket - jaketi
Heavy jacket – jaketi nzito
Overcoat – koti cha kiwiliwili
Hat - kofia
Black hat – kofia nyeusi
Sweater - fulana
Jeans - patashika
Faded jeans – patashika lililoparara
Shirt - shati
Silk shirt – shati la lasi
Pants – suruali ndefu
I took off my pants – Nilivua suruali langu
Dress - nguo
Purple dress – rinda la rangi zambarau
Raincoat – koti ya mvua
Yellow raincoat – koti manjano ya mvua
Pocket - mfuko
What do you have in your pocket? – Una nini kwenye mfuko wako
Button - mfuko
Brown 4-hole button – kitaki cha shimo nne za hudhurungi
Cloth - nguo
When grocery shopping, use cloth bags
instead of plastic bags. - Unaponunua mboga, tumia mfuko wa nguo badala
ya mfuko wa plastiki
Elastic band - mpira
Sleeve - mkono
Cuffed sleeve – mkunjo wa mkono wa shati
Collar - kola
Collared shirt – shati la kola
T-shirt – t-shati / fulana
Blue T-shirt – t-shati ya bluu
Coat - koti
Winter coat – koti ya msimu wa baridi
Clothing – nguo /mavazi
Clothing store – duka la nguo
Short-sleeved - shati la mikono fupi
Short-sleeved shirt - shati la mikono fupi
Long-sleeved - shati la mikono mirefu
Long-sleeved shirt – shati la mikono mirefu
Clothes - nguo
Wash clothes in a washing machine – osha nguo kwenye mashini ya kuosha nguo
Vest - fulana
Leather vest – fulana ya ngozi
Sweat suit – Suti la jasho
The woman is wearing a sweat suit. - Mwanamke amevaa suti la jasho.
More...
Blanket blanketi
Blouse blauzi
Bodice bodice
Boots buti
Border mpaka
Bra bra /
sindiria
Button kitufe/kitaki/
kifungu
Belt mshipi/
ukanda
Cap kofia /
chepeo
Cloth nguo
Coat kanzu / koti
Cotton pamba
Dress nguo / kanzu
Garb vazi
Gloves kinga / glovu
Gown Gauni
Handkerchief Kitambaa
Hat Kofia
Headscarf Kitambaa cha kichwani
Jacket koti / jaketi
Jeans Jinzi
Knitting kufuma
Leggings Suruali taiti
Linen kitani
Long skirt sketi ndefu
Mattress godoro
Overcoat kanzu
Overalls ovaroli
Pants Suruali
Pyjama pajama / nguo
za kulalia
Purse pochi
Raincoat kanzu ya mvua / koti la mvua
Robe Kanzu
Sandals viatu /
patipati
Scarf skafu / Kitambaa
cha kichwani
Sewing kushona
Sheet Karatasi
Shirt Shati
Shoe Kiatu
Shoelace kamba ya kiatu
Shorts kaptura
Silk Hariri
Skirt sketi
Slipper slipa /patipati
/ ndala
Socks soksi
Stockings soksi ndefu
Suit suti
Sweater sweta
Swimming costume vazi la kuogelea
Tape mkanda
Thread uzi
Tie tai
Tights taiti
Towel Taulo
Turban Kilemba
Underpants Suruali ya ndani
Undershirt Shati la ndani
Underwear chupi / nguo ya ndani
Uniform sare
Veil Pazia
Comments
Post a Comment