Daily Conversations in Swahili
Daily Conversations in Swahili
Mambo What’s Up/ How are you?
Poa I'm good
Karibu
sana Very welcome
Asante Thank you
Jambo Greeting
Hujambo How are you?
Sijambo I am fine
Hamjambo How are you?(plural)
Hatujambo We are fine
Shikamo respectful greeting used by a younger person to someone older
Marahaba (answer)
Mama:
Habari za asubuhi?
Baba:
Nzuri sana.
Mama:
Unatarajia kwenda kazini saa ngapi?
Baba:
Nitaondoka saa mbili kamili asubuhi. Je, watoto waliondoka
kwenda
shuleni saa ngapi?
Mama:
Waliondoka saa moja na robo asubuhi.
Baba:
Je, utapika chakula gani leo jioni?
Mama:
Nitapika ugali na mchuzi wa kamba.
Baba:
Chakula kitakuwa tayari saa ngapi?
Mama:
Inategemea, utarudi saa ngapi?
Baba:
Nitarudi baada ya saa kumi na moja na robo jioni.
Mama:
Sasa hivi ni saa mbili na dakika mbili. Basi fanya haraka
usije
ukachelewa kazini.
Baba:
Kwa heri mpenzi. Tutaonana jioni.
Comments
Post a Comment