Daily routines in Swahili

 Telling about daily routines in Swahili

Napiga mswaki – I brush my teeth

Ninafunga mlango – I close the door

Naenda kazini – I go to work

Nasikiza mziki kwenye simu yangu ya kisasa – I listen to music on my smartphone

Nawasha kompyuta yangu – I turn on my computer

Naangalia barua pepe yangu – I check my email

Ninafua nguo - I wash my clothes

Ninatengeneza chakula cha mchana – I make lunch

Ninanunua bidhaa za shambani – I do groceries shopping

Ninahudhuria mkutano – I attend a meeting

Ninapokea simu – I receive a phone call

Ninatazama filamu mpya -  I watch a new movie

Ninaoga na maji moto – I take a hot bath

Ninaweka simu yangu kwa moto – I charge my phone

Ninapanga kuhusu kesho – I plan for tomorrow

Mi huenda kulala karibu usiku wa manane – I go to sleep around midnight

Mimi huamka saa moja asubuhi – I wake up at midnight

Ninazima kengele ya kuniamsha – I turn off my alarm

Ninatoka kitandani – I get out of bed

Ninakula kiamsha kinywa – I eat breakfast

Comments

Popular posts from this blog

VERBS IN SWAHILI

Animal names in swahili

Civilities in Swahili