Telling about Family terms in Swahili

 

Family terms in Swahili

What Parents say

Be careful -        Kuwa mwangalifu

No running inside the house       -        Usikimbie kwa nyumba

Turn the TV off now   -        Zima televisheni/ runinga sasa

Go to bed  -        Nenda ulale

I love you  -        Nakupenda


Family Terms

 

Family
jamaa

Great grandfather
babu mkuu

Mother
mama

Grandmother
nyanya

 

Father
baba

Grandfather
babu

 

Wife
mke

Grandchild
mjukuu

 

Husband
mume

Granddaughter
mjukuu

 

Parent
mzazi

Grandson
mjukuu

 

Child
mtoto

Aunt
shangazi

 

Daughter
binti

Uncle
mjomba

 

Sister
dada

Niece
mpwa wa kike

 

Brother
kaka

Nephew
mpwa

 

Younger sister
dada mdogo

Younger brother
kaka mdogo

 

Older brother
kaka mkubwa

Great grandmother
nyanya mkuu

 

Cousin
binamu

Mother-in-law
mama mkwe

 

Father-in-law
baba mkwe

Sister-in-law
shemeji

 

Brother-in-law
shemeji

Partner
mpenzi

 



Family       -        jamaa

Great grandfather     -        babu mkuu

Mother      –       mama

Grandmother    –       nyanya

 

 

Huwezi kuchagua familia yako. Wao ni zawadi kwako kutoka kwa Mungu, vile ulivyo zawadi kwao.

“You don’t choose your family. They are God’s gift to you, as you are to them.” – Desmond Tutu

 

Familia si jambo muhimu. Ni kila kitu.

“Family is not an important thing. It’s everything.” – Michael J. Fox

 

Familia inamaana kuwa hakuna mtu anayewachwa nyuma au kusahaulika.

“Family means no one gets left behind or forgotten.” – David Ogden Stiers

 

Familia yangu ni nguvu yangu na udhaifu wangu.

“My family is my strength and my weakness.” – Aishwarya Rai

 

Familia ni mojayapo ya asili maalum ya maumbile.

“The family is one of nature’s masterpieces.” – George Santayana

 

Shida ijapo, ni familia yako inayokusaidia.

“When trouble comes, it’s your family that supports you.” – Guy Lafleur

 

Familia ni chembechembe cha kwanza muhimu katika jamii ya binadamu.

“The family is the first essential cell of human society.” – Pope John XXIII

 

Hakuna kitu kama vile burudani ya familia nzima.

“There is no such thing as fun for the whole family.” – Jerry Seinfeld

 

Unapaswa kudhibiti heshima yako. Na familia yako.

“You have to defend your honor. And your family.” – Suzanne Vega

 

Familia zote zenye furaha hufanana; kila familia isiyo na furaha haina furaha kwa njia yake tofauti.

“All happy families are alike; each unhappy family is unhappy in its own way.” – Leo Tolstoy



Father           Baba

Mother         Mama

Brother         Ndugu

Sister             Dada

Son                Mtoto wa kiume

Daughter     Mtoto wa kike

Parents         Wazazi

Children       Watoto

Child             Mtoto

Stepmother             Mama wa kambo

Stepfather               Baba wa kambo

Stepsister                 Dada wa kambo

Stepbrother            Kaka wa kambo

Wife               Mke

Husband      Mume

 

Extended family members

Grandparents         Wazazi wakuu

Grandfather            Babu

Grandmother         Bibi

Grandson                Mjukuu wa kiume

Granddaughter      Mjukuu wa kike

Grandchildren       Wajukuu

Grandchild              Mjukuu

Aunt                          Shangazi

Uncle                         Mjomba

Cousin (female)    Binamu

Cousin (male)        Binamu

Nephew                    Mpwa

Niece                         Mpwa

Father-in-law         Baba mkwe

Mother-in-law       Mama mkwe

Brother-in-law      Shemeji

Sister-in-law           Shemeji

Relative                    Ndugu

 

People           Watu

Mr.                 Bwana

Mrs.               Bi

Miss               Binti

Boy                Mvulana

Girl                 Msichana

Baby              Mtoto

Woman        Mwanamke

Man               Mwanamume

Friend (male)        Rafiki

Friend (female)     Rafiki

Boyfriend    Mpenzi wa kiume

Girlfriend     Mpenzi wa kike

Gentleman  Mwanaume

Lady              Mwanamke

Neighbor (male)               Jirani

Neighbor (female)           Jirani

 

 

Are you married?              Umeoa?

How long have you been married?     Je, umeoa kwa muda gani?

Do you have children?    Je,una watoto?

Is she your mother?        Huyo ni mama yako?

Who is your father?         Baba yako ni nani?

Do you have a girlfriend?          Je,una mpenzi wa kike?

Do you have a boyfriend?          Je,una mpenzi wa kiume?

Are you related?                Je, mna uhusiano?

How old are you?             Una umri gani?

How old is your sister?   Dada yako ana miaka mingapi?

 

 

Are you married?              Umeoa?

How long have you been married?     Je, umeoa kwa muda gani?

Do you have children?    Je,una watoto?

Is she your mother?        Huyo ni mama yako?

Who is your father?         Baba yako ni nani?

Do you have a girlfriend?          Je,una mpenzi wa kike?

Do you have a boyfriend?          Je,una mpenzi wa kiume?

Are you related?                Je, mna uhusiano?

How old are you?             Una umri gani?

How old is your sister?   Dada yako ana miaka mingapi?


Comments

Popular posts from this blog

Common Greetings in Swahili

Animal names in swahili