List of Nouns in Swahili
List of Nouns
in Swahili
Wiki week
Kuna siku saba kwa wiki. There are seven days in a week.
Mwaka year
mwaka moja one year
sekunde second
kuna sekunde hamsini na nane
zilizobaki kwenye saa.
There are fifty eight
seconds left on the stopwatch.
Dakika minute
Kuna sekunde (60) sitini kwa dakika
moja.
There are sixty seconds
in a minute.
Maji water
Kahawa coffee
Birika la kahawa limejaa kahawa.
The coffee pot is full
of coffee.
Pombe Beer
Barafu Ice
Chai Tea
Mama Mother
Baba Father
Mume Husband
Mke Wife
Kijana Son
Binti Daughter
Samaki Fish
Nyama ya ng’ombe Beef
Mnofu wa nyama Beef
steak
Nyama ya nguruwe Pork
Nyama ya kuku Chicken
Supu ya kuku Chicken
soup
Jikoni Kitchen
Bafu Bathroom
Tarakilishi Computer
Tarakilishi la dawati Desktop
computer
Kitanda Bed
Sofa
sofa
Muuguzi Nurse
Hoteli Hotel
Hoteli pa mapumziko Resort
hotel
Mwanamke Woman
Mwanamume Man
Mpenzi Girlfriend
Mtoto Child
Daktari Doctor
Mwalimu Teacher
Leo Today
Kesho Tomorrow
Jana Yesterday
Kichwa Head
Mvua Rain
Theluji Snow
Wingu Cloud
Viatu Shoes
Shati Shirt
Soksi Socks
Suruali ndefu Pants
Rafiki Friend
Mtu mzima Adult
Msichana Girl
Runinga Television
Mvulana Boy
Comments
Post a Comment